Good thread!Kwa maoni yangu, tuliposhindwa kuunda katiba mpya ilikuwa ni ishara ya utawala mbovu kabisa! Kwamba Bunge na Serikali vyote vilikuwa viko taaban!
Yawezekana biashara ya Ndege ni mbaya lakini kila taifa hutamani kuwa na ndege chache. Treni ni muhimu pia. Tujiulize Ilikuwaje kwa miaka yote hiyo tukashindwa kununua ndege hata moja? Ilikuwaje miaka yote watoto mashuleni wakakosa madawati? Hatukuwa na mradi wowote wa maana kwa miaka yote hiyo na bado bajeti ikapanda kufikia zaidi ta trilioni 22!
Tatizo letu kubwa ilikuwa ni wizi. Kwa kuanza kufukuza na kuzuia wizi ni hatua muhimu. Wezi bado ni wengi lakini hiyo ni ishara ya kufahamu matatizo yako wapi.
Je mijitu hiyo ni pamoja na Rais wa sasa?Mijitu hiyo iliyoshindwa kupata katiba, ikahamia kwenye fomu za urais ikitaka kututawala! FOOOOOL!
Kwa maoni yangu, tuliposhindwa kuunda katiba mpya ilikuwa ni ishara ya utawala mbovu kabisa! Kwamba Bunge na Serikali vyote vilikuwa viko taaban!
Yawezekana biashara ya Ndege ni mbaya lakini kila taifa hutamani kuwa na ndege chache. Treni ni muhimu pia. Tujiulize Ilikuwaje kwa miaka yote hiyo tukashindwa kununua ndege hata moja? Ilikuwaje miaka yote watoto mashuleni wakakosa madawati? Hatukuwa na mradi wowote wa maana kwa miaka yote hiyo na bado bajeti ikapanda kufikia zaidi ta trilioni 22!
Tatizo letu kubwa ilikuwa ni wizi. Kwa kuanza kufukuza na kuzuia wizi ni hatua muhimu. Wezi bado ni wengi lakini hiyo ni ishara ya kufahamu matatizo yako wapi.
Umemaliza,uzi umepata majibu mujarabu kabisa!Case closed!Unachosahau ni kwamba Chama kinachounda serikali ni kile kile na waliokuwa wakiibia wananchi ni wale wale waliokuwa viongozi katika chama kile kile na serikali hiyo hiyo. Waliokuwa viongozi wakuu wa chama hicho hicho na serikali, Rais wa sasa aliapa kuwalinda kwa hivyo waishi kwa raha bila hofu kwani hakuna wa kuwabughudhi.
Kwa miaka zaidi ya ishirini alishirikiana nao bega kwa bega kama Waziri akitekeleza kwa juhudi mkubwa mipango ya serikali ambayo iliifikisha taifa katika hali hiyo unayoilalamikia. Je amewahi kuwataka radhi wananchi kwa wizi na ufiisadi uliokuwa ukiendelezwa na serikali ambayo yeye alikuwa sehemu yake akiitumikia kwa muda wote huo?
Eti utetezi ni kuwa hakuwa Rais nyakati hayo yote yakiendelea ndani ya taifa hili…unasikitisha, unashangaza na unaudhi.
Je mijitu hiyo ni pamoja na Rais wa sasa?
Nyie na kina nani?Tutaelewana tu...
Ukianza kusema chama ni kile kile, utawala ni ule ule, itafikia wakati utaona hakuna haja maana ukiendelea kidogo tu utasema watanzania ni wale wale! Ikimaanisha aje CUF, ACT au yeyote mambo ni yale yale! Kuna haja gani ya kupiga kelele wakati hata vyama vya upinzani vilianzishwa na wana CCM waliohama? Si ni wale wale!Unachosahau ni kwamba Chama kinachounda serikali ni kile kile na waliokuwa wakiibia wananchi ni wale wale waliokuwa viongozi katika chama kile kile na serikali hiyo hiyo. Waliokuwa viongozi wakuu wa chama hicho hicho na serikali, Rais wa sasa aliapa kuwalinda kwa hivyo waishi kwa raha bila hofu kwani hakuna wa kuwabughudhi.
Kwa miaka zaidi ya ishirini alishirikiana nao bega kwa bega kama Waziri akitekeleza kwa juhudi mkubwa mipango ya serikali ambayo iliifikisha taifa katika hali hiyo unayoilalamikia. Je amewahi kuwataka radhi wananchi kwa wizi na ufiisadi uliokuwa ukiendelezwa na serikali ambayo yeye alikuwa sehemu yake akiitumikia kwa muda wote huo?
Eti utetezi ni kuwa hakuwa Rais nyakati hayo yote yakiendelea ndani ya taifa hili…unasikitisha, unashangaza na unaudhi.
Je mijitu hiyo ni pamoja na Rais wa sasa?
Mmmh, umenikumbusha jamaa wa bunge la katiba alijilipa Pesa za kufulu mpaka nataka kutapika yaani watz tuko hovyo sana! MAGUFULI KANYAGA GIA TWENDE MBELEE!Ni kweli! Ukiangalia bajeti yetu ya nyuma unaona trilioni zikiongezeka. Lakini hakuna mradi wa kitaifa unaoweza kuonesha kwamba ndo ulimeza peza hizo zote. Ni kama tulikuwa taifa la zezeta! Sorry!
Angalia bunge la katiba! Yaani bunge zima hawakuona njia ya kupata katiba. Vipofu hawa wakatukanana hadi mwisho. Wakasema wanataka muda wa nyoingeza. Serikali nayo ikawa na watu vipofu wasioona wapi tunakwenda, ikaongeza muda na pesa. Mwisho hakuna katiba. Mijitu hiyo iliyoshindwa kupata katiba, ikahamia kwenye fomu za urais ikitaka kututawala! FOOOOOL!
Utawala huwa ni mtu, pamoja na kwamba tunapenda kutumia neno chama. CUF ya Lipumba ni tofauti na ile ya wakati wa Maalimu. CCM ya nyerere ni tofauti na ile ya Kikwete na Magufuli. CHADEMA ya Mbowe na Mnyika siyo ile ya Slaa wa mwembeyanga. Nenda nje; Republican ya Trump siyo ya Bush!Unachosahau ni kwamba Chama kinachounda serikali ni kile kile na waliokuwa wakiibia wananchi ni wale wale waliokuwa viongozi katika chama kile kile na serikali hiyo hiyo. Waliokuwa viongozi wakuu wa chama hicho hicho na serikali, Rais wa sasa aliapa kuwalinda kwa hivyo waishi kwa raha bila hofu kwani hakuna wa kuwabughudhi.
Kwa miaka zaidi ya ishirini alishirikiana nao bega kwa bega kama Waziri akitekeleza kwa juhudi mkubwa mipango ya serikali ambayo iliifikisha taifa katika hali hiyo unayoilalamikia. Je amewahi kuwataka radhi wananchi kwa wizi na ufiisadi uliokuwa ukiendelezwa na serikali ambayo yeye alikuwa sehemu yake akiitumikia kwa muda wote huo?
Eti utetezi ni kuwa hakuwa Rais nyakati hayo yote yakiendelea ndani ya taifa hili…unasikitisha, unashangaza na unaudhi.
Je mijitu hiyo ni pamoja na Rais wa sasa?
Eti Sita akajiita samaki aliyerudi majini! Aliishia kutafuna pesa na majigambo ya kibwege tu! Baadaye naye akajitokeza na basi lake mikoani akitafuta sahihi za kuwa rais wa nchi. Ahkika nchi inaweza tawaliwa na mtu mzembe!Mmmh, umenikumbusha jamaa wa bunge la katiba alijilipa Pesa za kufulu mpaka nataka kutapika yaani watz tuko hovyo sana! MAGUFULI KANYAGA GIA TWENDE MBELEE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshindwa kuelewa kabisa ulikuwa unataka kumaanisha nini? Au Rais Magufuli ni bora zaidi?Kwa maoni yangu, tuliposhindwa kuunda katiba mpya ilikuwa ni ishara ya utawala mbovu kabisa! Kwamba Bunge na Serikali vyote vilikuwa viko taaban!