kwa kifupi tu gentlema,Hivi wana jamiiforum mjashtuka au mpaka tuwape code.
Ni hivi labda mtanielewa,kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.
wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki au zao kabisa na n.k.
Mada inapo postiwa utaona sekunde mtu kakubari kusifia hata kama hiyo mada ni ndefu kama mkeka wa kubeti.
Wengine wamepewa kuangalia mada ambazo zitagusa mfupa wa serikali ya ccm kuzijibu haraka mfano weka mada itakayo fichua kisha angalia sekunde ni mashambulizi na wengine wana kuripoti ufungiwe au kufutwa haraka.
Mshaelewa hii ofisi ?.Sio mda mfupi hii mada watakuja haraka kuanza ajenda zao muone matokeo.
Angalia mfano hawa wamepishana dakika moja View attachment 3514992View attachment 3514993
Ukisikia utaahira ndo huo,chakustaajabisha zaidi utakuta ndo yametoa pendekezo la JF kufungiwa!Walivyo wangese wanatumia vpn kuja kuitetea serikali ya damu
huwa wanayaangalia mambo kwa ushabikiShida ya vijana hamuamini kuwa kuna mtu ana mawazo tofauti na yenu na mnadhani mnajua kila kitu.
Hamjui kwamba hamjui hivyo mnadhani mnajua (Dunning Krugers Syndrome). Huku kunawafanya mnashabikia falsafa mnazoona ni nzuri kwa nje kumbe ndani zimeoza
Kumbe hili andazi Tlaatlaah kumbe bado lipo?Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code.
Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.
wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki au zao kabisa na n.k.
Mada inapo postiwa utaona sekunde mtu kakubari kusifia hata kama hiyo mada ni ndefu kama mkeka wa kubeti.
Wengine wamepewa kuangalia mada ambazo zitagusa mfupa wa serikali ya ccm kuzijibu haraka mfano weka mada itakayo fichua kisha angalia sekunde ni mashambulizi na wengine wana kuripoti ufungiwe au kufutwa haraka.
Mshaelewa hii ofisi ?.Sio mda mfupi hii mada watakuja haraka kuanza ajenda zao muone matokeo.
Angalia mfano hawa wamepishana dakika moja View attachment 3514992View attachment 3514993
Hili linatakiwa liwekwe kwenye orodha ya watakaotembelewa na Gen-Z wakati wa kisasi!Lipo ofisi ya rumumba hapo
Well saidKuiongelea CCM ni kuipa umaarufu usio na msing leten mada za namna ya kukiangamiza hiki chama cha wahuni