Mtiririko wa vichapo vya Simba: Yanga inadondokea kwenye 4G

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mtiririko(trend) wa Simba kwa mechi 5 mfululizo

Ndanda 0-2 Simba
Simba 4-0 Singida
Kagera Sugar 0-2 Simba
Simba 4-0 Majimaji
Ruvu Shooting 0-Simba 3

Unaweza kuona kutokana na mtiririko huo mechi ya ''Zimba'' na Yanga inadondokea kwenye 4G. Kwa maana nyingine upo uwezekano wa Yanga kupigwa 4 bila. Ni vyema mashabiki na uongozi wa Yanga ukajiandaa kisaikolojia badala ya kuletea lawama makocha na wachezaji.
 
😀😀😀😀
 
Hivi ikitokea kuwa Yanga imeona mwezi yakatokea yale yale ya Azam sijui huu utabiri wako utauita nini. Mpira ni dk 90 kabla ya hapo kaa kimya. ManU iliwahi mtandika mtu goli 3 kwa 1 kwenye kipindi cha extra time ya 5 min. Nao walikuwa nyuma 1 bila.
 
Jifariji tu na wewe,kipigo kinakuhusu. Mwenzio akipigwa para wewe tia maji. Kichuya anakuja
Kipigo hakipo hata akicheza Kabwili golini na Yoso wetu wengine..najua mko vizuri idara zote lkn madhara yenu hayaifikii Yanga
 
Hivi ikitokea kuwa Yanga imeona mwezi yakatokea yale yale ya Azam sijui huu utabiri wako utauita nini. Mpira ni dk 90 kabla ya hapo kaa kimya. ManU iliwahi mtandika mtu goli 3 kwa 1 kwenye kipindi cha extra time ya 5 min. Nao walikuwa nyuma 1 bila.
[emoji3]Ukaona ukiitaja Man U Mfano utakua mtamu zaidi.??
Hata Jana Singida United alitangulizwa mbili..na kashinda extra time
 
[emoji3]Ukaona ukiitaja Man U Mfano utakua mtamu zaidi.??
Hata Jana Singida United alitangulizwa mbili..na kashinda extra time

Samahan hilo la jana sijalisikia nami sipendi ushuhuda sina uhakika nao. Nisamehe kwa kuwataja walio sio wa kwetu. Mi ni mzalendo sana tu
 
Samahan hilo la jana sijalisikia nami sipendi ushuhuda sina uhakika nao. Nisamehe kwa kuwataja walio sio wa kwetu. Mi ni mzalendo sana tu
Ni kunogesha jamvi tu Kaka.. hamna tatizo lolote ..tuko pamoja[emoji106][emoji106]
 
Mfunge Azam kwanza ...Nyoni na Mlipili dk 90 Chirwa asifunge kweli ..
Chirwa atapitia wapi mbona sioni upenyo. Zimeshindwa kupita timu 5 hata la kufutia machozi ataweza Chirwa
 
wewe ni jipu..kuna siku utalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…