Ubuntuwize
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 312
- 93
Kabisa to me nawaona kama wamepinda flani...hahah
funguka zaid mkuu tuelimikeZaidi ya 70% ya mademu wenye tatoo wana ngoma
Ninajua nnaachokiongea
binamu eti wewe ni cheap?
oh sawa.... je lakini unakubaliana nae kuwa wenye tatoo ni wepesi?
Acha MAWAZO mgandoKujichora tattoo ni moja wapo ya ibada za kishetani...kwahiyo anayejichora chora na kujichanja chale ni mfuasi rasmi wa shetani.
Kama umejichora nawe ni mfuasi,.Acha MAWAZO mgando
Mkuu unatutisha sana hii habari ina utafiti wowowte lakini?Zaidi ya 70% ya mademu wenye tatoo wana ngoma
Ninajua nnaachokiongea