Mtizamo juu ya Tatoo

Cha muhimu tumia Kondom
 
nina tatooo (mimi wakiume)

ukimuona wakike ana tatooo (mawazo yako yapo sahihi)

Hujakosea kabisa.

Ukifika muda unaulizia kuhusu wanaume

nitag nikwambie ipoje kwa wanaume
 
kuchora tattoo sh ngap na kujengea kaburi sh ngap?
 
Hayo ni mawazo yako tu mkuu. Tattoo ni kama urembo na nikiona mtu kachora nafurahi sana.
Tatizo mi siwezi kuchora ila ningekua na ubavu ningeshachoraga
 
Hayo ni mawazo yako tu mkuu. Tattoo ni kama urembo na nikiona mtu kachora nafurahi sana.
Tatizo mi siwezi kuchora ila ningekua na ubavu ningeshachoraga
Kwanini huwezi kuchora mrembo ?
 
Naogopa kutobolewa plus naangalia mbele zaidi. Tattoo zinakosesha watu fursa kwa mawazo kama haya kuwa tattoo ni uhuni
Okay,kwahiyo wewe kama ungekuwa una ubavu ungependa kuochora wapi yaani sehemu gani ya mwili wako ?
 
Wengi waliojichora baadae wanakuja kujuta, na wanatamani kuziondoa.

Ushahidi ninao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…