Mtizamo juu ya Tatoo

Wengi waliojichora baadae wanakuja kujuta, na wanatamani kuziondoa.

Ushahidi ninao
wanachora upuuz unaanzaje kujichora jina la mpenzi kama sio upuuz au eti unachora ua kwenye tako lazma ujute baadae mana utajiona kama kahaba.
 
Hayo ni mawazo yako tu mkuu. Tattoo ni kama urembo na nikiona mtu kachora nafurahi sana.
Tatizo mi siwezi kuchora ila ningekua na ubavu ningeshachoraga
Any ways unamchukuliaje kwa mfano mtu anapokua na tatoo na akawa ndio kiongozi wako wa dini??
 
Imenichukua almost 3 years kufikiria uamuzi wa kwenda kuchora tattoo and finally soon naenda kuchora tattoo yangu ya kwanza bila wasiwasi wowote.

Wabongo wanafiki sanaaaaa, unaogopa dhambi ya tattoo huku ukifurahia dhambi ya zinaa, pombe, unafiki na usengenyaji.
 
Jamaa!! Mi nakutahadhalisha tu, ukikuta demu ana tattoo mwilini, hata kama ni kaherufi kamoja tuwili. Vaa Condom saba man.
 
Kujichora tattoo ni moja wapo ya ibada za kishetani...kwahiyo anayejichora chora na kujichanja chale ni mfuasi rasmi wa shetani.
Mungu wangu nina chale hadi kwenye nanilii yangu ila nilichanjwa nikiwa mdogo sana so nimekuwa nimezikuta je nipo kundi gani mkuu?
 
Mungu wangu nina chale hadi kwenye nanilii yangu ila nilichanjwa nikiwa mdogo sana so nimekuwa nimezikuta je nipo kundi gani mkuu?
Hahahahahahaha
 
Sio wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…