Mtizamo: Ushauri wangu kwa Baraza la Elimu Tanzania RE: CSEE results

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Sizungumzii upangaji wa alama/ kama ilivyo zoeleka
.
WALIO FAULU KIDATO CHA NNE 2013 KUENDELEA NA ADVANCE
.
Hongera kwa watoto/wadogo/ndugu zetu waliofanikiwa kuendelea na masomo ya advance...
.
UCHAGUAJI WA SHULE ZA ADVANCE
.
form kama kawaida ina viboksi vitano ambapo mwanafunzi hujaza mara baada ya kumaliza mtihani wake kulingana na jinsi alivyoona umahiri wake ktk masomo husika....
.
Wanafunzi huwa wanatofautiana
.
Mfano >
katika hivyo vi boksi vitano mwanafunzi akajaza kama ifuatavyo
.
(a)= shule tofauti combination moja
(b)= shule moja combination tofauti
(c)= shule tofauti na combination tofauti tofauti
n.k

.
Sasa
endapo Mwanafunzi (a) baada ya matokeo kutoka (mfano) alijaza HKL/PCM katika vi boksi vyote vitano yaani shule tofauti combination moja..... Hiyo HKL/PCM
Basi bila shaka atakuwa kafanikisha azma yake.....
.
faida atakayo ipata mwanafunzi (a)
.
Atakuwa kaisha tambua mchepuo wake atakao soma advance, hivyo basi mwanafunzi huyu ataweza kujiandaa mapema na masomo yake atakayo soma advance mfano kuanza TUITION mapema ili kujiandaa n.k...
.
hasara atakayo ipata mwanafunzi (a)
.
Endapo mwanafunzi (a) atakua kafanya vibaya baadhi ya masomo katika mchepuo wake yaani combination isiwe balanced kabisa... Kulingana na alivyo jaza Lakini kafanya vizuri masomo mengine
.
Hapo baraza humpangia shule yeyote kwa mchepuo wowote ule ambao kafanya vizuri ktk masomo yake....
.
Mwanafunzi huyu atajumuika pamoja na wale (b) na (c) ambao hawaelewi watakacho soma advance
.
wote watakuwa hawaelewi combination watakayo soma wakiwa advance...
.
Hivyo basi wanafunzi hawa watakuwa waki kaa tu mtaani waki landa landa bila kujua watakacho enda ku deal nacho advance.....
Na matokeo ya shule huja mwezi watano ambapo mwanafunzi hukaa kidogo tu nakuenda shule... Huku akiwa hajielewi elewi na uoga ukiwa umemjaa
mfano yeye alijijazia PCB mtoto wa watu lakini kafanya vibaya matokeo yake mme mpangia HGK n.k mtoto huyu hana budi kushangaa shangaa
.
ili kuwaepusha wanafunzi na usumbufu basi POST ziwe zinawahi ili hata mzazi nae ajipange kama mtoto alijua ata chaguliwa IRINGa karibu lakini mme mpangia Mwanza basi POST zikiwahi mzazi huyu atajua anajipanga vipi na nauli n.k
mwanafunzi nae akiwahi kutambua mapema shule anayo enda na mchepuo atakao somea basi atakuwa hana budi kujiandaa mapema... Na kuanza kusoma soma mtaani ili kujiweka vizuri na masomo ya advance

.
Sijagusia vyuo vya ufundi
*****************************
xxxxxxxxxxxxx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…