Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Sema km kweli vile!!!
 
TFF watuambie kigezo cha kuwaacha mabeki wa Africa - Kapombe na Mo - Hussein afu unamchagua mtu asiye na timu kakaa home miezi 3 unategemea stamina aitoe wapi.

Acheni mambo ya ubaguzi, hii ni timu ya watanzania, hakuna mtanzania atakuwa na chembe ya wasiwasi juu ya ubora wa Show me the way na Shabalala kwa sasa.

Kama unabisha twende na statists zao against hao mabeki mliowachagua, sema na Uganda nao ubovu umewaponza gemu wangeimaliza mapema. 😀 😀
 
Mkuu ....vp tuongeze wachezaji wa Yanga ....au wanatisha?
Hata England, wachezaji wa timu ya Taifa huwa wanatoka katika vilabu vidogo vidogo, maana vilabu vikubwa huwa vinaundwa na internatonal playes kwa kiasi kikubwa
 
Simba ndio wanaharibu national team....Leo jeshi la Yanga limetuokoa
Real Madrid na Barcelona wana uhasama mkubwa sana ilifika kipindi waligoma kuuziana wachezaji kabisa na mashabiki nao wana chuki sana. Ila linapokuja suala la timu ya taifa ya Hispania huo ushabiki huwezi kuuoma wanaungana na kuwa kitu kimoja. Mpaka Iniesta anafunga goli la ushindi kombe la dunia, hakuna shabiki wa Barcelona aliyewasema vibaya wa Real Madrid. Walishangilia kwa pamoja kama taifa.

Man united na Liverpool wana uhasama mkali sana hsdi wachezaji hawauziani na nahodha wa Liverpool wa muda mrefu Steven Gerrard hajawahi kubadilishana jezi na mchezaji wa Man U toka anacheza ile timu hadi anastaafu. Ila ukija timu ya taifa yupo nao na anashirikiana nao vyema huwezi kuona uhasama wa kiklabu. Hadi mashabiki wapo hivyohivyo, wanakuwa kitu kimoja hata kama mchezaji wa klabu fulani akifanya vizuri wanamshangilia wote na hawasemwi wa timu nyingine.

Hao wote wangeendekeza huo ujinga unaouweka humu, timu zao zisingefika mbali kwenye michuano au wasingecheza vizuri. Hata kufuzu kombe la dunia zisingeweza
 
What a wasted sperm !omba mtoto wako achukue akili ya mama yake vinginevyo kiwango Cha familia yako kitakuwa kutoka punguwani kwenda amnazo.
 
Shukrani mkuu....umeeleweka
 
What a wasted sperm !omba mtoto wako achukue akili ya mama yake vinginevyo kiwango Cha familia yako kitakuwa kutoka punguwani kwenda amnazo.
Ungekua kuwa nmewahi kua T.O usingesema
 
Novatus yuko Ulaya unataka kumlinganisha na MTI MKAVU yule mwenye kifua kama sahani la ukoko wa ugali?
 
Kuna uzi ulikuwa unamuelezea huyu member Labani og hapa jamii forum na tayari tukakubaliana tusimjibu lakini watu mnamjibu tenah!

Labani og unaona raha unavyotukanwa kaka mbona akili zako zipo matacorn sana we jamaa

Watu hawajui kuwa wewe huna akili vizuri ndo mana wanakutukana, wasamehe labani
 
Sababu makolo mmebakiza matusi .....akilini
 
Ngoja tu ayaoge Maana ni mjinga. Na kazi ya mjinga siku zote ni kuumia yeye au kuumiza familia yake
 
Imepenya penyewe kabisa
 
Ndio maana sisi mashabiki wa simba tunaonekana mambumbumbu mipang'ang'a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…