Mto nile umepita Tanzania?

Mto nile umepita Tanzania?

Joined
Jan 31, 2024
Posts
42
Reaction score
119
Je, ni kweli mto Nile umepita Tanzania. Na kama ni kweli umepita mkoa upi Tanzania kama hamtajali mnaweza kunitajia chanzo cha mto nile ni wapi na nchi ambazo mto Nile umepita
 
Soma kwenye ramani hapo huo mstari wa blue sijui kijani ndo ramani inayoonesha mto NILE ulipo anzia na kuishia...

images.jpeg
 
Waulize Wamasai ndio walipotokea kwao asilia Sudan.. wanaitwa Nilotic
 
Kuna wazungu walitutoa tongotongo, ila tumelala, the source ya river Nile imeaanzia na chemichemi ndani ya Mwanza.............................


View: https://www.youtube.com/watch?v=QB3cRTRvV_0


 
Umeanzia uganda msitake kutudanganya kuwa umepita chini ya ziwa victoria haipo hiyo
 
Back
Top Bottom