Mto Rufiji na mto Ruvuma upi ni mkubwa?

Mto Rufiji na mto Ruvuma upi ni mkubwa?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Habari wakuu.

Hapa nazungumzia ukubwa kwa kiasi cha maji yanayotiririka.
Hadi sasa nilikuwa naamini Rufiji ndiyo mkubwa, sasa nimekutana na takwimu zikisema mtiririko wa mto Rufiji ni kama wastani wa mita za ujazo 413 kwa sekunde. Wakati Ruvuma ni 475.

Sina imani sana na data hizi, kwa mnaoijua mito hii. Upi ni mkubwa?
 
Mto Rufiji bado ni mto mkubwa mkuu kwa kulinganisha na mto Ruvuma!
Maana mito mingi tu inaungana na kumwaga humo Rufiji ukilinganisha na Ruvuma
 
Back
Top Bottom