Mtokeo ya timu hizi unaleta mashaka msimu huu

mart66

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
610
Reaction score
691
Adi Sasa ligi zote za ulaya zishaanza huku baadhi ya time zkiwa na matokeo yasiyolidhisha,epl time Kama

1: man u ,Kati ya mechi nne kashinda mechi moja tu kadraw mbili kufungwa moja licha ya usajili wao lakini bado timu haionesh mabadiriko katika uchezaji hasa katika kufunga licha y kuwa na wazoefu

2: Tottenham
Hi timu nayo wengi tulitegemea italeta challenge kwa Manchester cty na Liverpool lkini Hali haijawa Kama tulivyotegemea katika mechi nne kashinda moja tu na draw mbil Kama ukianglia uchezaji was timu Ni kama wachezakji hawana Tena morali ya ushindi maybe itabadirika mbeleni ila Hali ikiwa Kama hivi mechi za mwanzo bas utkua msimu mmbaya kwa Tottenham

3: Chelsea
Hawa wao timu yao bado inashida San upande wa defense , errors za mabeki znapelekea timu kufungwa magori mengi Sana kwa upnde wa viungo bado Kuna shida kidogo ambayo inawezekn ikarekebishwa hasa akikosekana ngolo kante , pia upande wa striker Tammy Abraham kajitaidi kuonyesha uwezo wake clienteles kucheza na kuwa na confidence Zaid anaweza kuja kuwabeba Chelsea mbeleni ,mount pia nae anajitaidi kuonyesha uwezo wake, all in all mashabiki wa Chelsea wawe wavumilivu tu kipindi hiki matokeo yakiwa mabaya

3:Real Madrid
Licha ya usajili mkubwa lakini bado timu haijawa na uwezo wa kushindana na timu Kama Barcelona na A.madrid sare ya Jana bado inaonesha zidane anakazi kubwa ya kurekebisha kikosi chake , otherwise inawezekana zidane akaaibika iwapo timu itashindwa kupata matokeo zaidi.



Comments zinaruhusiwa
 
Tott kacheza mechi 2 kubwa, katoa sare. Sio mbaya.

Hapo timu mbovu ni MAN UTD na CHELSEA
 
Arsenal wapo wapi bana au ndo tushaizoea
 
Mimi nina hofu na Chelsea na Real tu hao wengine hata washuke daraja sijali barca alichana mkeka wangu
 
Barcelona mbona naye kacheza Mechi Tatu kashinda Moja kapigwa moja Ametoka sare moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…