Elections 2015 Mtolea Ashinda Ubunge Temeke, Apita Bila Kupingwa

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea, ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi kuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya wagombea aliokuwa amechukua nao fomu kukosa sifa za kugombea.

Kwa habari zaidi tazama video:

Hivi kuna ushindi bila ushindani?
 
Ukisikia kujitekenya na kucheka ndio huku.

Yana mwisho wake haya yote.
 
Back
Top Bottom