Mtoni Raha Sana Dah

Mtoni Raha Sana Dah

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
FB_IMG_1604944087414.jpg


Najaribu kuwanza ingekua Africa..
 
Tutafika huko kama tukitumia akili zetu vizuri! Kwa sasa ngoja tuendelee kuburuzwa na " weusi" wenzetu.
 
ingekuwa kwa jiwe unakatwa hicho kidole afu unadumbukiziwa[emoji2]
 
Lissu angefurahia Sana.

[emoji16]mkuu, comment yangu sio ya kisiasa, ni ukweli tu nimesema na wala sio kibaya,udikteta wa Africa una faida zake na moja wapo ni hiyo rais wa Africa hawezi tukanwa hivo
 
Back
Top Bottom