Siyo Africa huko mbali ingekuwa Tanzania ..
Sana,hasa hapa Mississippi mito ni mingi mno.hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US?
hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US?
Hiari aisee ndo maana nazichanga sana,naamini hakuna kinachoshindikana mbele ya pesaUtaenda kwa hiari au kama mkimbizi wa kisiasa maana kwa sasa kila raia ni potential refugee
Lissu angefurahia Sana.ingekuwa kwa jiwe unakatwa hicho kidole afu unadumbukiziwa[emoji2]
Lissu angefurahia Sana.