Mtoto 1 yr kutokwa usaha sikioni

Mtoto 1 yr kutokwa usaha sikioni

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,235
Reaction score
5,854
Heshima wakuu,nna tatizo la mtoto kutokwa na usaha sikioni ni nini sababu ya tatizo hilo na pia ni jinsi gani ya kutibu ikiwa ni dawa basi dawa gani atumie ili aweze kuwa okay ni mtoto wa mwaka mmoja na nusu.

Ahsanteni
 
Dawa Sonaderm jamani angalieni sana wakati wa kumuogesha mtoto wenu hiyo inasababishwa na maji ya sabuni kuingia masikioni.pole sana mwone DR ili akuandikie dose hata ya sonaderm ya kuanza kumwekea wanajua namna ya kuweka wenyewe.
 
Yaani mtoto mpaka anatoka usaha sikioni wewe ndio kwanza unakuja kuulizia cha kufanya JamiiForums?!

Unasubiri ifikie hatua gani ndio uende hospitali?
 
Back
Top Bottom