Heshima wakuu,nna tatizo la mtoto kutokwa na usaha sikioni ni nini sababu ya tatizo hilo na pia ni jinsi gani ya kutibu ikiwa ni dawa basi dawa gani atumie ili aweze kuwa okay ni mtoto wa mwaka mmoja na nusu.
Dawa Sonaderm jamani angalieni sana wakati wa kumuogesha mtoto wenu hiyo inasababishwa na maji ya sabuni kuingia masikioni.pole sana mwone DR ili akuandikie dose hata ya sonaderm ya kuanza kumwekea wanajua namna ya kuweka wenyewe.