'heshima wakuu,nna tatizo la mtoto kutokwa na usaha kwenye sikio ni nini sababu ya tatizo hilo na pia ni jinsi gani ya kutibu ikiwa ni dawa basi dawa gani atumie ili aweze kuwa okay ni mtoto wa mwaka mmoja na nusu..............ahsanten'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.