aliua akijua kuwa anaua mkuu! akamkata mara tatu!.....kisha akaficha maiti....ya baba yake mzazi!!...all details shows the guys was matured.
Umri wa utu uzima una vary mkuu, kwa matendo ya hapo juu yanaonyesha ameishakuwa mtu mzima, just leave writings away from this. Ndio maana nchi kama canada mtu mzima anaanzia miaka 16!! tumerithi mikoba ya wabritish na kusema mtu mzima anaanzia miaka 18, wakati wengi wenye miaka 14 na 15 wanaruhusiwa kuolewa!!
ukiangalia matendo ya 15th-17th kuna style za ngono wanazijua kuliko wewe mwanasheria mtetezi wa haki zao!! they will laugh at you.........
Just leave theories out of this, the boy is a killer, a killer! period
mtu akiweza kuua baba yake nani atapona??