zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha watoto wafate kwa mama! Midingi mingi sura za kazi, sasa mtoto wa kike afu akifata kwa baba yake inakuwa sio ishu kabisaaaaa!
Kuna watu wakiwa wajawazito wanakesha na kuomba watoto wasifate kwa baba zao, manake matfutano!

ila ukaguzi wako uwe wa amani na upendoMuda wa watu kwenda kazini huu jamani, utawafanya wengine waanze kuwachunguza watoto wao ambao wapo nae kwenye gari kuwapeleka shuleni. Hata hivyo, ni idea nzuri kuwafanya akina baba wakae na watoto wao kwa karibu angalau leo tu manake si ajabu leo wakarudi mapema ili wakawachunguze hao watoto!
Eh? Mwanangu wa kiume ni kopi yangu. Urefu tu ndio wa babake. Sasa hapo vipi?
Kuna wale husemwa wamefanana na babu au bibi yao aliyefariki mwaka 1947....
Asa em fikiria kama baadhi ya viongozi wetu wa ngazi za juu, hivi mabinti zao wakifanana nao si balaa hilo?DNA ina-huu lakini Mungu atusaidie sana