Asa em fikiria kama baadhi ya viongozi wetu wa ngazi za juu, hivi mabinti zao wakifanana nao si balaa hilo?DNA ina-huu lakini Mungu atusaidie sana
Mtoto wa kiume anafanana na anko zake! Duh....hapo DNA inahusika zaidi!
Mie nilikuwa naomba Mungu mwanangu afanane na mimi.
Na hatimaye nimefanana nae,ila sasa amechukua mpaka umbo langu halafu yeye ni mtoto wa kiume,patamu hapo.
Ila akina baba wengine sura zao za Mbuzi,sasa huo ubandidu wao akauweke usoni kwa mwanangu!!
Akha.
Bora mtoto afanane na mama yake. Period!!!
kukesha mbona cha mtoto. Mkome kuchagua wachumba kwa kigezo cha pochiAcha watoto wafate kwa mama! Midingi mingi sura za kazi, sasa mtoto wa kike afu akifata kwa baba yake inakuwa sio ishu kabisaaaaa!
Kuna watu wakiwa wajawazito wanakesha na kuomba watoto wasifate kwa baba zao, manake matfutano!
madame B MAMBO VIPI???? umemkopisha mwanao na wewe....subiria tume huru.
Habari zenu wana MMU.We husika na kichwa cha habari hapo juu moja kwa moja kama kinavyo jieleza kama ni kweli au si kweli.......
FUNGUKA HILO NENO SASA.....................
Acha watoto wafate kwa mama! Midingi mingi sura za kazi, sasa mtoto wa kike afu akifata kwa baba yake inakuwa sio ishu kabisaaaaa!
Kuna watu wakiwa wajawazito wanakesha na kuomba watoto wasifate kwa baba zao, manake matfutano!
Yani mie nlinunaje nlivooneshwa mwanangu...carbon n copy ya baba yake! Watu wana damu kali aisee...ukiambiwa sio mwanangu unakubali! Lols
Hahahahahahahaha umechemka leo
Mtoto wa kiume anafanana na anko zake! Duh....hapo DNA inahusika zaidi!
Ndo nn?Kalagabao.