Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
pole sana, mimi ni mama naelewa usemalo.Hi JF,
Mimi ni baba wa mtoto wa kike anamiezi sita na wiki mbili.
umri aliofikia ni wa kuota meno ila bado hayajaanza kuota lakini anaharisha na inaonekana tumbo huwa linamkata pale anataka kuharisha kwa sababu huwa analia na kuhangaika ila akisha harisha tu anarudi kwenye hali ya kawaida.
nimempleka Hospital wamesema ni kwa sababu anataka kuota meno na ni kawaida wakampa dawa ya kupunguza maumivu, but the medicine does not help her, the situation is the same as before we attend to hospital.
i'm not happy at all your assistance please
pole sana, mimi ni mama naelewa usemalo. Suala la kuharisha mtoto wakati wa kuota meno huwa inatokea ingawa si watoto wote huwa hivyo, ninachojua mimi kwa uzoefu wangu, mtoto anapoharisha iwe ni kwa kuota meno au vyovyote vile ni lazima apewe dawa stahili yaani ya kuzuia kuharisha na ya kuzuia maumivu, suala la kwamba hapewi dawa kwa vile anataka kuota meno halina msingi wowote japo mimi sio daktari, nilishawahi kumpeleka mtoto wangu kwa mtazamo huo lakini daktari akaniambia mtoto akiharisha anapaswa kupewa dawa, anyway, sijui uko mkoa gani lakini nenda tena hospitali nzuri na ikiwezekana muone daktari wa watoto utapata matibabu sahihi kuliko kumuacha mtoto anateseka kwa madai eti anaota meno coz kuharisha si kuzuri mtoto anaweza kuishiwa maji akalegea sana na kuteseka
hi jf,
mimi ni baba wa mtoto wa kike anamiezi sita na wiki mbili.
Umri aliofikia ni wa kuota meno ila bado hayajaanza kuota lakini anaharisha na inaonekana tumbo huwa linamkata pale anataka kuharisha kwa sababu huwa analia na kuhangaika ila akisha harisha tu anarudi kwenye hali ya kawaida.
Nimempleka hospital wamesema ni kwa sababu anataka kuota meno na ni kawaida wakampa dawa ya kupunguza maumivu, but the medicine does not help her, the situation is the same as before we attend to hospital.
I'm not happy at all your assistance please
<br />kama usingetaja mtoto nilitamani nisikujibu anyaayywaay huyo babu kwenye avator ndie nisietaka kumwona kabisa..sasa basi usimpedawa yoyote nami nimetoka juzi kwa dk amssawe nikapewa panadol tena baada yakulazimisha jana akaharisha nikaenda kwa dk mmoja aghakan wakampa dawa ya maji ya panadol na kuomba tumsaidie kumpa maji as much as possible <br />
to be strong wanaitaji meno usiogope kama niuzazi wa kwanza uzoee ndio anatafuta mdogo wake hivyo chezesha kiuono