BADO MMOJA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 2,195
- 1,346
Usiogope bana, hata ivo sio dunia yote ni giza saivmkuu huu uzi usiku wa masaba tunatishana bhana.!
πππ jerry huku Ilambilole kwetu ni giza la hatari..Usiogope bana, hata ivo sio dunia yote ni giza saiv
mkuu huu uzi usiku wa masaba tunatishana bhana.!
hzo story night ile dah utahisi rama anakuja.Wweweeeeeeeeeeeeeeeeee unaniua kwa vicheko kwani unaogopa kuliwa kichwa na Rama mla vichwa vya watu?????