HAINA TOFAUTI NAWE KULALA NA BUNDUKI KWA USALAMA WAKO AKIJA JAMBAZ NDO UMERUHUSIWA KUUA? BIBLIA UNAYOIFUATA IMEKWAMBIA KAA NA BUNDUK MCHAGONI? AU KWA UPANDE HUO NI HALAL? WHY TUNA MABUNDUK NYUMBAN, ATA ACP BARO JUZI ALIKUWA NA BASTOLA, WHY US? LZM TUWE WAKALI ZAID YA YOTE SASA POSTINGS NYING UMU NI ZA KUTUDHIAKi
Dear Kashorobana,
Penguine ni miongoni mwa watu ambao hawapendi kabisa kudhihakiwa. Lakini pia Penguine mimi sipendi kudhihaki wengine bila ya kujali rangi za ngozi zao, umri wao wa kuzaliwa, jinsia zao, dini zao, elimu hata vipato vyao.
Tuchukue mfano ktk kadhia hii ya Qoran kumojolewa. Wanaowaza na kutekeleza masuala ya ustarabu ktk jamii wangejiuliza:
1. Je mkojoleaji alikuwa na kitabu hicho na akaamua kukikojolea? Lahasha!
2. Je mkojoleaji alimpoka mwenzie kitabu hicho ili akikojolee? lahasha!
3. Mkojoleaji alikipata wali kitabu hicho mpaka akakikojolea? Nini kilitokea ama kilifanyika. mpaka huyo kijana akakojolea kitabu hicho?
4. Je makanisa yalovunjwa ndiyo yaliyomtuma mwenye kitabu akitoe na mkojoleaji akikojolee? lahasha!
Majibu ni kwamba mtotk wa kiislam ndiye aliyekuwa na kitabu hicho. Hakunyang'anwa kitabu hicho ili kikojolewe alikitoa kwa hiari yake kwa mwenzie ili imani yake ithibitike. Yaani mwenzie ageuke na kuwa panya.
Usichukie, hapa tunaona udhaifu wa mafundisho aliyopewa mtoto wa kiislam kwamba mtu akikojolea kitabu hicho anageuka na kuwa panya. Huyo mtoto hakuokota imani hii. Ameipata kutoka kwa waliomfundisha. Naye hastahili kulaumiwa kwani aliaminishwa hivyo na maalim wake.
Kwa upande wa mtoto wa pili ambae ndiye mkojoleaji mafundisho hayo kwake siyokweli. Namna pekee ya kumthibitishia mwenzie kuwa imani hiyk kwake siyo kweli ikawa ni kukubali kukikojolea kitabu hichk ili kuona ukwrli wa imani ya upande wa mwenzie.
Kwa ufupi, mtoto wa kiislamu alimshawishi mwenzie akikojolee kitabu hicho na bila ya kupokwa alikitoa kwa hiari kipate kukojolewa. Je, waislam waliohusika na kuleata fujo jijini walijiuliza maswali haya muhimu? Hawakujiuliza, kwao siyo maswali muhimu. Muhimu ni kuwa na miguu na mikono yenye kukimbilia kutenda, kumwaga damu. Yaani kwenda kituo cha polisi ili wapewe mtoto aliyekojolea kitabu hicho kisha wamchinje! Hii ni aibu iletayo dhihaka.
Lkn, nimejifunza kwamba siyo waislam wote wenye mawazo kama haya ya kutenda kabla ya kuwaza. Wapo waislam wachache jamii ya hawa waliotekeleza maandamano ya kuvunja amani mpaka kufikia hatua ya kubomoa makanisa, kuiba vitu na kubwia divai, kuburutwa na polisi. Wapo wachache ambao wanaifanya dini ya kiislam ionekane kuwa dini ya fujo, shari, vitisho na ugaidi. Kama hatuungani nao basi tuwakemee!
Ningekuwa mimi, ningejikwepesha nisitende, nisineene, nisitazame au hata kufikiria yaletayo dhihaka. Tatizo hapa nikwamba BAADHI ya Waislam wenzetu wanatenda, wanawaza na wananeena yanayowaletea dhihaka. Hivyo, kama nawewe ni mmojawao, hamtakwepa kamwe kudhihakiwa na kudhihakiana miongoni mwenu.
Kwa mfano, usikute ktk kunijibu thread hii ukajikuta umeingiza tusi. Yaani unawaza kutusi wenzio. Utajikuta unadhihakiwa tu. Ni vema tukabadilika. Tutendeni mambo baada ya kufikiri tusipende kufikiri baada ya kutenda.