Msaada wenu wapendwa mwanangu ana miezi 5 amekuwa akisumbuliwa na homa yaan anakuwa na joto kalii kichwani mikononi na tumbo ila kila nikienda
Nashauri ampeleke hospital akawekewe drip za maji joto hilo linakausha maji na damu kwa kiwango kikubwa.Hukamaliza kuandika lakini joto zaidi ya degree 37 si hali ya kuiacha kwa muda mrefu.
Kama una feni muwashie
Mmkande kwa maji ya baridi
Punguza nguo ikiwezekana abaki na nepi
Mpe Panasonic au paracetamol
Msaada wenu wapendwa mwanangu ana miezi 5 amekuwa akisumbuliwa na homa yaan anakuwa na joto kalii kichwani mikononi na tumbo ila kila nikienda
Achana na yote mpime UTI na ulete mrejesho hapaMsaada wenu wapendwa mwanangu ana miezi 5 amekuwa akisumbuliwa na homa yaan anakuwa na joto kalii kichwani mikononi na tumbo ila kila nikienda
Mtoto haruhusiwi kuwashiwa feni. Paracetamol anaweza kutumia kulingana na ushauri wa daktariHukamaliza kuandika lakini joto zaidi ya degree 37 si hali ya kuiacha kwa muda mrefu.
Kama una feni muwashie
Mmkande kwa maji ya baridi
Punguza nguo ikiwezekana abaki na nepi
Mpe Panasonic au paracetamol
Anapata madhara gani ukimuashia feni?Mtoto haruhusiwi kuwashiwa feni. Paracetamol anaweza kutumia kulingana na ushauri wa daktari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo wao wa upumuaji haujakomaa. Anaweza kupata mafua na almonia ( almonia kama nimekosea spelling)Anapata madhara gani ukimuashia feni?
Nashauri ampeleke hospital akawekewe drip za maji joto hilo linakausha maji na damu kwa kiwango kikubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hopitali joto likizidi wanawashiwa feni kulipunguza.Mfumo wao wa upumuaji haujakomaa. Anaweza kupata mafua na almonia ( almonia kama nimekosea spelling)
Sent using Jamii Forums mobile app
almonia=pneumoniaMfumo wao wa upumuaji haujakomaa. Anaweza kupata mafua na almonia ( almonia kama nimekosea spelling)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna madaktari wengi sana humu.mmmmh,hatari fire
Nadhani ni vema wakawashiwa chini ya uangalizi wakitabibu. Feni inamadhara hata kwa mtu mkubwa japo tunatumia sanaHata hopitali joto likizidi wanawashiwa feni kulipunguza.
feni si nzuri,mostly zinakua na vumbi hivyo kuleta madhara kwa mtoto,,paratemolna kumpunguza nguo inatosha,ni jukumu la mganga/dakatri kumchunguza mtoto ili kujua tatizo lake coz si kila homa ni malaria na kuna magonjwa mengi yanayopresent kama malariaHata hopitali joto likizidi wanawashiwa feni kulipunguza.