Kama first aid paracetamol ya watoto inakuwa na kipimo unaweza kumpa kupunguza joto. Juu ya bum is feni sifahamu kwakweli lakini huwa wazazi wanapewa hospitali ili kuokoa maisha ya mtoto.feni si nzuri,mostly zinakua na vumbi hivyo kuleta madhara kwa mtoto,,paratemolna kumpunguza nguo inatosha,ni jukumu la mganga/dakatri kumchunguza mtoto ili kujua tatizo lake coz si kila homa ni malaria na kuna magonjwa mengi yanayopresent kama malaria
Fuata ushauri huuMpimeni full blood picture na u.t.I utapata majibu
Msaada wenu wapendwa mwanangu ana miezi 5 amekuwa akisumbuliwa na homa yaan anakuwa na joto kalii kichwani mikononi na tumbo ila kila nikienda
Feni inategemea, kama ukitoka kujifungua tu ukawa unawasha feni basi feni halitamsumbua mtoto hadi ukubwa wake, na pia usipokuwa ukimfunika mtoto nguo unamuacha waz toka anapozaliwa bas anazoea hali iyo..Mtoto haruhusiwi kuwashiwa feni. Paracetamol anaweza kutumia kulingana na ushauri wa daktari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mleta mada hajatoa Maelezo ya kutosha. Amesema tu joto la Mtoto lipo juu na hana Malaria.Hukamaliza kuandika lakini joto zaidi ya degree 37 si hali ya kuiacha kwa muda mrefu.
Kama una feni muwashie
Mmkande kwa maji ya baridi
Punguza nguo ikiwezekana abaki na nepi
Mpe Panasonic au paracetamol
Hospital tmj ila leo nmemplka zahanati kwa kuwa ni wknd hospital specialist wao hayupo
asante kwa ushauri nimeshamalizia kuandikaHukamaliza kuandika lakini joto zaidi ya degree 37 si hali ya kuiacha kwa muda mrefu.
Kama una feni muwashie
Mmkande kwa maji ya baridi
Punguza nguo ikiwezekana abaki na nepi
Mpe Panasonic au paracetamol
Ok kumbe mchango pia husababisha homa?Anaweza kuwa na mchango yaani huwapata watoto mwezi unapoandama magharibi, unapokuwa utosini au katikati na unapoelekea kupotea mashariki. Wazazi wengi kama sio wote hutumia dawa za asili au kienyeji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vingine huwa ni kurithi au kuzaliwa na uwezo binafsi kuyakabili mazingira na ndio maana rafiki na majirani wanashangaa.Feni inategemea, kama ukitoka kujifungua tu ukawa unawasha feni basi feni halitamsumbua mtoto hadi ukubwa wake, na pia usipokuwa ukimfunika mtoto nguo unamuacha waz toka anapozaliwa bas anazoea hali iyo..
.manangu wawili bila feni hawalali kabsa usiku umeme ukikatika na usingizi kwao unakata
Watu walishangaa sana malezi yangu, sifuniki mtoto na manguo akiwa mchanga..na hasumbuliwi na kifua,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio ipi?Mpe Panasonic au paracetamol
Full blood picture akipimwa tarehe 6 ikaonekana ni bacteria infection hvyo nikapewa tu dawa ya kuongeza damu kutokana na damu ilivyokuwa imeshukaMpimeni full blood picture na u.t.I utapata majibu
Anaweza kuwa na mchango yaani huwapata watoto mwezi unapoandama magharibi, unapokuwa utosini au katikati na unapoelekea kupotea mashariki. Wazazi wengi kama sio wote hutumia dawa za asili au kienyeji.
Sent using Jamii Forums mobile app