Mtoto anastahili kusoma sekondari ya Kata hata kama ni wazi atapata Division zero, toa maoni yako

Mtoto anastahili kusoma sekondari ya Kata hata kama ni wazi atapata Division zero, toa maoni yako

DT125

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
437
Reaction score
637
Tatizo kubwa la wazazi kususa kuwapeleka watoto shule na kulipia michango ya shule ni matokeo mabovu ya mitihani ya kidato cha nne. Shule zipo katika mazingira magumu yasiyo rafiki ya kielimu, wanafunzi ufaulu unaanzia Daraja la nne na waliobaki wote sifuli. Matokeo ya namna hii hayawezi kumshawishi mzazi kuingia ghalama za kumsomesha mwanae kwani waliomaliza maisha yao hayatofautiani na wale walioishia darasa la saba. Ni wakati wa kutafakari na kuchukua hatua stahili.
 
mkuu samahani hizi shule saizi zina jina jipya VIJIWE VYA KATA pole sana kama nitakuwa mbali na mada.
 
Back
Top Bottom