black jeus
Member
- Oct 16, 2020
- 66
- 186
Nami nipo hapa maana pia wangu anafanya hivyo hivyo, ila wangu ana miezi miwili sijui shida nini?Habar JF Doctor,Nina mwanangu ana miezi sita,anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala,amekaa au anakula,je hali hii inasababishwa na Nini?je ina madhara gan kwenye afya yake ?naomba msaada ta tafadhali!
Habar JF Doctor,
Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake?
Naomba msaada ta tafadhali!
Mwanangu ana miezi sita yupo Iringa chakushangaza wakati wa joto Dogo hatokwi na jasho na anakua poa tu lkn wakati wa baridi mtoto anatokwa na jasho Hatari hachemki wala kukohoa naomba mnisaidie hili wataalam wa afya kuna baadhi nmeuliza wanasema huenda ikawa dalili ya dege dege naona zengwe tu naweka Uzi huu mezani mnisaidie nijue naanzia wapi kuitatua hii changamoto yakeHabar JF Doctor,
Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake?
Naomba msaada ta tafadhali!