Mtoto anaumwa Kitovu

Mtoto anaumwa Kitovu

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Habari Ma-Dokta na Wana JF kwa Ujumla.

Mtoto wangu anaumri wa miezi Sita ila anasumbuliwa na tatizo la Kitovu.
Tatizo lenyewe liko hivi.

Mtoto anakitovu kilicho chongoka kiasi fulani pia kina pingili mbili upande wa juu. Sehemu ya kitovu inayokatwa wakati mtoto akizaliwa imeanza kutoa harufu.

Hivyo naombeni msaada wenu ili mtoto wangu apone jamani.

Nifanyeje na mimi ni mgeni hapa Dar?
 
Mpeleke hospital,
Mtoto wa miezi 6 ananuka kitovu bado una type hapa eti nifanyeje jamani.

Ushauri wangu mwingine.
Kama watumia fb, nenda kasearch group laitwa MAGONJWA, IDEAS NA USHAURI,
Ni Closed group for Mamas only,
Kule ukipost tu tatizo lako, utatajiwa hospital mpk majina ya madokta na namba zao, hope utapata pa kuanzia.
 
Embu wahi hosp maana kule wanakufanyia vipimo maana huku ni ushauri zaid
 
Back
Top Bottom