Mtoto anaweza kuzaliwa akiwa na miezi 7 au 8?

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
124
Reaction score
78
Wapendwa naomba kuuliza ivi mtoto anaweza kuzaliwa mwezi wa 7 na 8? Maana huwa nasikia mtoto kazaliwa miezi 6 au 9 tu. Naomba mwenye ujuzi anieleze tafadhari...
 
Mkuu unamaanisha miezi 7= 28 weeks , 8=32 weeks?
 
Wapendwa naomba kuuliza ivi mtoto anaweza kuzaliwa mwezi wa 7 na 8? Maana huwa nasikia mtoto kazaliwa miezi 6 au 9 tu. Naomba mwenye ujuzi anieleze tafadhari...
Inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…