Ni kirubisho kizuri sana iliyowekwa ladha ya chocolate maana watoto wanapenda chocolate. Haina madhara yoyote ni bidhaa nzuri ya kifilipinondo nin hiyo mychoco?
inapatikanaga wapi hiyooooNi kirubisho kizuri sana iliyowekwa ladha ya chocolate maana watoto wanapenda chocolate. Haina madhara yoyote ni bidhaa nzuri ya kifilipino
Sent using Jamii Forums mobile app
inbox ndo nini we tiririka hapa hapa tujue unauza nini?Habari za muda huu wapendwa. Kama una mtoto asiyependa kula nina suluhisho. Kirutubisho cha MYCHOCO, inatampa hamu ya kula na kuimarisha kinga ya mwili maana ina madini yote anayotakiwa mtoto kupata katika mlo wake. Pia inaimarisha ubongo wa mtoto na kumsaidia kuwa vizuri shuleni. Karibuni inbox kwa maelezo zaidi. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Imethibitishwa na kampuni ipo kihalali Tanzania ndugu, pia tunalipa kodi TRA. KaribuImethibitishwa na TFDA na kuidhinishwa na TBS kama bidhaa sahihi isiyo na madhara kwa mtumiaji? Watoto ni nyeti sana katika Taifa Lolote hivyo tujiridhishe kabla ya kwenda kuuziwa hii kitu wadau yasije kututokea yale ya SOUTH AFRICA watoto wakawa Habibiiiii. Thanks
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri, basi mwenye kuhitaji aniambie yuko wapi yaani mkoa gani nijue jinsi ya kumpa huduma.
Picha na maelezo ya mychocoHabari za muda huu wapendwa. Kama una mtoto asiyependa kula nina suluhisho. Kirutubisho cha MYCHOCO, inatampa hamu ya kula na kuimarisha kinga ya mwili maana ina madini yote anayotakiwa mtoto kupata katika mlo wake. Pia inaimarisha ubongo wa mtoto na kumsaidia kuwa vizuri shuleni. Karibuni inbox kwa maelezo zaidi. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha na maelezo ya myCHOCOHabari za muda huu wapendwa. Kama una mtoto asiyependa kula nina suluhisho. Kirutubisho cha MYCHOCO, inatampa hamu ya kula na kuimarisha kinga ya mwili maana ina madini yote anayotakiwa mtoto kupata katika mlo wake. Pia inaimarisha ubongo wa mtoto na kumsaidia kuwa vizuri shuleni. Karibuni inbox kwa maelezo zaidi. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha na maelezo ya myCHOCOImethibitishwa na kampuni ipo kihalali Tanzania ndugu, pia tunalipa kodi TRA. Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app