Mtoto chini ya miaka mitano anaweza kupata kisukari?

Mtoto chini ya miaka mitano anaweza kupata kisukari?

ugalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
652
Reaction score
602
Kuna mtoto kazimia gafla nikampeleka hospital nikamkuta Ana sukari ya kushuka. Je nini sababu ya sukari kwa mtt? Je afanyeje ili aweze kuushinda ugonjwa huu hatari? Je anaweza kupona??
 
Labda Kongosho hali-secrete hormones zake katika uwiano mzuri specifically insulin is under secreted.Kwani wewe umeambiwa nini huko ulikompeleka juu ya haya maswali unayouliza humu?
 
Wanadunda vip? sijakusoma mkuu

Nimeishi na watu wenye visukari toka wakiwa wadogo na kila siku wanajidunga insulin sikuona wakisumbuka sana kama wanaopata visukari ukubwani, wataalamu watatujuza
 
Pole Ugalila!
Katika uelewa kidogo nilionao ni kuwa hiyo ni type 1...kulingana na maelezo ya mtaalam mmoja ni kuwa ndani ya type 1 kuna aina 5. Sasa kupona kwa mtoto itategemea ni ipi kati ya hizo tan?. ..kwani inabidi wajue source ni nini hasa. Mfano..Kama ni ya muda mfupi (Inashuka kutokana hitirafu) kutokana na influence ya kitu fulani then wanadeal na Chanzo cha sukari.
 
Back
Top Bottom