Pole Ugalila!
Katika uelewa kidogo nilionao ni kuwa hiyo ni type 1...kulingana na maelezo ya mtaalam mmoja ni kuwa ndani ya type 1 kuna aina 5. Sasa kupona kwa mtoto itategemea ni ipi kati ya hizo tan?. ..kwani inabidi wajue source ni nini hasa. Mfano..Kama ni ya muda mfupi (Inashuka kutokana hitirafu) kutokana na influence ya kitu fulani then wanadeal na Chanzo cha sukari.