unachotakiwa kujua ni kwamba ktk ukuaji wa mtoto kuna kipindi mtoto anakuwa kwa kuongezeka unene na kipindi hiki mtoto huwa anahitaji virubisho vingi sana hivyo huwa anakula sana pia then ktk ukuaji pia kuna kipindi mtoto anakua kwa kuongezeka urefu na kipindi hiki mtoto huwa hali sana!! hivyo ukienda clinic muelezee dr na kama hatakupa majibu yakueleweka just PM me ntakuunganisha na dr mmoja ambae ni speciality atakusaidia

habar ndugu. mim ni mzaz wa mtoto mwenye umri wa miez saba sasa ila haongezeki uzito kwa haraka. mara kwa mara nkimpeleka kliniki huongezeka gtam chache sana au kilo hubaki hapo hpo. sasa anamiez saba lkn bdo ana kilo tano. tatizo ni nini au tiba yake ni ipi? Naomba mnishauri.
unachotakiwa kujua ni kwamba ktk ukuaji wa mtoto kuna kipindi mtoto anakuwa kwa kuongezeka unene na kipindi hiki mtoto huwa anahitaji virubisho vingi sana hivyo huwa anakula sana pia then ktk ukuaji pia kuna kipindi mtoto anakua kwa kuongezeka urefu na kipindi hiki mtoto huwa hali sana!! hivyo ukienda clinic muelezee dr na kama hatakupa majibu yakueleweka just PM me ntakuunganisha na dr mmoja ambae ni speciality atakusaidia
OK Anaitwa dr msigwa alikuwa lecture pale muhimbili yeye alisoma germanMkuu please naomba weka jina la huyo dr kwa faida ya wengi
OK Anaitwa dr msigwa alikuwa lecture pale muhimbili yeye alisoma german