Chakula jamani ndiyo dawa aina ya kwanza, pamoja na multivit lakini hakikisha anakula hata kwa lazima baadaye atapenda,pia mbadilishie aina ya chakula kila wakati ila zingatia balance diet. Watoto wanapenda sana pipi biskut na vitamu vingine na wanaishia kufutuka hiyo si afya bora