cjui mimi
Member
- Jul 7, 2013
- 67
- 8
heshima zenu wakuu,
nina mtoto wa miezi mitano na nusu leo ni siku ya tatu ziwa la mams yake halitaki kabisa ila ukimpa ile chupa ya kunyonyea watoto ananyonya vizuri tu! msaada wenye utaalam inaweza kuwa ni tatizo?
niko mbali kidogo na family napewa maelekezo kwa njia ya simu tu