Huyo mtoto alikuwa anapewa maziwa ya chupa kabla hajagoma kunyonya ziwa?
Inatokeaga kwamba mtoto anakaatga kunyonya kwasababu anaprefer ladha ya maziwa ya chupa kuliko ya ziwa la mama na haswa kama huna maziwa ya kutosha kwenye maziwa...
Huwa inatokea wakwangu alikataa akiwa na miezi 3;ikabidi anywe ya ng'ombe kwa chupa;nilienda kwa dr wa watoto ikashindikana;kamwone dr.wa watoto;chaajabu mdogo zake wamenyonya mpaka 3 yrs.usiogope