K KakaNanii JF-Expert Member Joined Sep 28, 2008 Posts 325 Reaction score 52 Oct 4, 2010 #1 mtoto alimuuliza swali mama yake. Eti mama siku hizi wewe unauza "mchicha" ??? Mama akajibu, hapana mwanangu. Kwanza kwa nini umeniuliza hivyo ??? Mtoto akasema, jana usiku nilimsikia baba akisema "nipe chuma mboga " !!! Attachments Mtoto aliyeuzwa 100,000.jpg 21.4 KB · Views: 150
mtoto alimuuliza swali mama yake. Eti mama siku hizi wewe unauza "mchicha" ??? Mama akajibu, hapana mwanangu. Kwanza kwa nini umeniuliza hivyo ??? Mtoto akasema, jana usiku nilimsikia baba akisema "nipe chuma mboga " !!!
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,199 Oct 4, 2010 #2 KakaNanii said: mtoto alimuuliza swali mama yake. Eti mama siku hizi wewe unauza "mchicha" ??? Mama akajibu, hapana mwanangu. Kwanza kwa nini umeniuliza hivyo ??? Mtoto akasema, jana usiku nilimsikia baba akisema "nipe chuma mboga " !!! Click to expand... Ni huyo mtoto aliyepo pichani ndo aliyeuliza hivyo? Na huyo mama ndiye mamake wa mtoto na ndiye aliyeulizwa hayo maswali? Kama ndivyo basi unastahili ban.
KakaNanii said: mtoto alimuuliza swali mama yake. Eti mama siku hizi wewe unauza "mchicha" ??? Mama akajibu, hapana mwanangu. Kwanza kwa nini umeniuliza hivyo ??? Mtoto akasema, jana usiku nilimsikia baba akisema "nipe chuma mboga " !!! Click to expand... Ni huyo mtoto aliyepo pichani ndo aliyeuliza hivyo? Na huyo mama ndiye mamake wa mtoto na ndiye aliyeulizwa hayo maswali? Kama ndivyo basi unastahili ban.
Beauty JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 540 Reaction score 23 Oct 4, 2010 #3 mbona siyo sehemu yake hapa, aaakh