Mtoto Iddy kazua balaa mtoto iddy kazua mikosi huko zenji

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Mtoto iddy kazua balaa mtoto iddy kazua mikosi utadhani kapandwa na kichaa anahitaji kurekebishwa,Wewe iddy una laana

-J Nature

Simba kaliwa na swala bado swala watavaa yeboyebo za jangwan
 
Azam ni timu nzuri.

Ivi mshambuliaji wetu Okwi yuko wapi.
Simba tunakosa wamaliziaji tu wa goli.
Gyan inabidi acheze kama mshambuliaji maana anaonekana an uwezo mkubwa
Okwi afukuzwe tu, maana hana uchungu na timu.
 
Awe na uchungu kwani ana ujauzito?

Mbumbumbu Fc.........FIFA Sc.
 
Nikuulize wewe unayetaka mwanaume awe na uchungu, sisi wanaume huwa hatuna uchungu, uchungu atakuwa nao bi. Hindu sio Kwio.
Tatizo ni uwezo wako wa kuelewa Lugha.
Tafuta Neno Uchungu kwenye kamusi ya Kiswahili halafu fananisha maana yake na yako.
 
Waambie Azam na Green warriors watafute mkuu.
Watu wana haira zao na Okwi wao, wewe unawazidisha. Ole wako wakifanikiwa kujua uhalisia wako! Unaweza kushtukia umepigwa kichwa na usiyemjua njiani, kumbe ni shabiki wa Simba kutoka Jamii Forum!
 
Watu wana haira zao na Okwi wao, wewe unawazidisha. Ole wako wakifanikiwa kujua uhalisia wako! Unaweza kushtukia umepigwa kichwa na usiyemjua njiani, kumbe ni shabiki wa Simba kutoka Jamii Forum!

Teh! Teh! Teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…