Mtoto ili aweze kuishi na baba inatakiwa atimize miaka mingapi kwa mama yake?

Mtoto ili aweze kuishi na baba inatakiwa atimize miaka mingapi kwa mama yake?

Ustawi wa jamii inaelezea kuwa mtoto afikishe miaka saba katika ulezi wa mama ndipo baba anaweza kumchukua
 
Kwa sasa baada ya CHILD ACT 2009, kinachoangaliwa ni "MASLAHI BORA YA MTOTO". Hata kama yuko chini ya miaka 7 lakini upande unaoweza kutoa malezi na matunzo bora ya mtoto ni wa baba, basi baba atapewa mtoto.
 
Back
Top Bottom