M Mzalendowavita Member Joined May 13, 2017 Posts 96 Reaction score 37 Aug 11, 2017 #1 Mtoto hili aweze kuishi na baba inatakiwa atimize miaka mingapi kwa mama yake Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto hili aweze kuishi na baba inatakiwa atimize miaka mingapi kwa mama yake Sent using Jamii Forums mobile app
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,465 Aug 11, 2017 #2 7 Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Aug 11, 2017 #3 Ustawi wa jamii inaelezea kuwa mtoto afikishe miaka saba katika ulezi wa mama ndipo baba anaweza kumchukua
Ustawi wa jamii inaelezea kuwa mtoto afikishe miaka saba katika ulezi wa mama ndipo baba anaweza kumchukua
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,144 Aug 11, 2017 #4 Sky Eclat said: Ustashi wa jamii inaelekea kuwa mtoto afikishe miaka saba katika ulezi wa mama ndipo baba anaweza kumchukua Click to expand... [emoji106] -Ndumilakuwili-
Sky Eclat said: Ustashi wa jamii inaelekea kuwa mtoto afikishe miaka saba katika ulezi wa mama ndipo baba anaweza kumchukua Click to expand... [emoji106] -Ndumilakuwili-
mgusi mukulu JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 715 Reaction score 681 Aug 17, 2017 #5 Kwa sasa ni miaka 10 wamepandisha.. Sent using Jamii Forums mobile app
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Aug 22, 2017 #6 Kwa sasa baada ya CHILD ACT 2009, kinachoangaliwa ni "MASLAHI BORA YA MTOTO". Hata kama yuko chini ya miaka 7 lakini upande unaoweza kutoa malezi na matunzo bora ya mtoto ni wa baba, basi baba atapewa mtoto.
Kwa sasa baada ya CHILD ACT 2009, kinachoangaliwa ni "MASLAHI BORA YA MTOTO". Hata kama yuko chini ya miaka 7 lakini upande unaoweza kutoa malezi na matunzo bora ya mtoto ni wa baba, basi baba atapewa mtoto.
IKARAHANSI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2019 Posts 398 Reaction score 479 Jul 30, 2020 #8 mgusi mukulu said: Kwa sasa ni miaka 10 wamepandisha.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hii miaka 10 imeanza lini na kwa sheria ipi, naomba kujuzwa!!
mgusi mukulu said: Kwa sasa ni miaka 10 wamepandisha.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hii miaka 10 imeanza lini na kwa sheria ipi, naomba kujuzwa!!