Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa taarifa. anapelekwa hosp sasa hviHuo ugonjwa unaitwa MUMPS. Ni muhimu umpeleke hospital apate matibabu stahiki. kwa watoto wa kiume baadhi hupelekea kushindwa kupata watoto (kuua kizazi) atakapo kua mkubwa. Pls take it serious ...
Asante kwa taarifa. anapelekwa hosp sasa hvi
acheni uongo nyie, mumps ni ugonjwa tumeugua sana utotoni na sasaivi tuna watoto rundo. nakumbuka kijijini kwetu ulikuwa ukianza, shule nzima ya msingi tunaugua. walikuwa wanasema dawa ufunge vijiti ukavirushe njia panda ati atakayepita anakupokea. mambo mengi. nimeugua utotoni sio mara moja, ni mara nyingi tu. mashavu chini ya sikio kushuka kweney shingo kuna vimba. na wanasema hauna dawa, unasababishwa na virus, unapona ndani ya wiki moja hadi mbili. ukipata sana dawa ni za kutuliza maumivu tu.Huo ugonjwa unaitwa MUMPS. Ni muhimu umpeleke hospital apate matibabu stahiki. kwa watoto wa kiume baadhi hupelekea kushindwa kupata watoto (kuua kizazi) atakapo kua mkubwa. Pls take it serious ...