Mtoto kafanana na rafiki yangu

Ya maksimo muachie maksimo na ya paulsen mwachie paulsen
 
kama ni wewe ungenyamaza bila kumwambia??????? basi itakuwa si urafiki bali unafiki, cha muhimu mie nimenyamaza mama mtoto hata story naye cna jamaa yangu ni m2 mwelewa hawezi ng'ang'ania mtoto wa mke wa m2 hata kama ni wake coz hyo tayari ni kesi kama ni wewe utadai mtoto?
 
Ahaaa haaa mbona ningeshasepa kitambo mke wa m2 sumu tena nyumba moja bora mtaa wa pili..... una umaskini wa kuelewa,,,.... mbona mzee wake angeshashtuka coz mara kibao napiga naye stori
 
....ebana wewe hama hapo,kama ni kweli huyo jamaa anakuja kwako lakini lengo sio wewe!hama hapo,huo moto unangoja kulipuka tu na wewe utakuunguza!!!kudo mara moja inatosha kabisa kutengeneza kiumbe
 
waswahili wanasema ukitaka kufahamu tabia za mtu uliza rafiki yake ni yupi, namaanisha nawe pia una hizo tabia ndio maana mwaendana na uko radhi kukaa nae,rafiki gani huyo aje kwako afu atembee na jirani yako tena mke wa mtu isitoshe kutembea nae kavu bila kinga na kumpa ujauzito, ningekuwa mm ningeshahama kitambo,tunza heshima yako na utu wako ches the guy away naamini jirani yako atasema lenu moja.
 
kijana,usiwe na wasi. ni kawaida mama mjamzito akimchukia mtu anazaa mtoto aliyefanana nae. relax,huyo bibie alikuwa ana kisirani na jamaa tu,acha kuwaza uovu.
 
kijana,usiwe na wasi. ni kawaida mama mjamzito akimchukia mtu anazaa mtoto aliyefanana nae. relax,huyo bibie alikuwa ana kisirani na jamaa tu,acha kuwaza uovu.
<br />
<br />
Hahaaaaa we mkeo hata akizaa mkorea utAtetea kwa hiyo hoja yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…