Mtoto kakolea haswaa, hanijui cmjui ila kanipenda

She is not really,anakufaham vzuri huyo mdada,unavojdanganya yuko dar we iringa haiko hivyo,mko nae the very same region,thats y anajdai ajigharimikie toka dar,mzush huyo!hata huko kufiwa na mzaz changa la macho hilo!changu mkomavu!
 
We kaka unampenda mchumba ako kweli? Cz usingeruhusu mawasiliano ya kimapenz na anonymous lover.
Yawezekana pia anaku2mia ili amsahau mpenz wake ambae nahisi ndo anaempenda kushnda akupendavo wewe
Tatu wanawake 2natabia ya kuwachezea wapenz we2 kwa ku2mia m2 mwengne ili kupima upendo wenu kwe2 cz hata mimi nshawai mchezea mpenz wangu nkatumia namba nyingne na wakat wa maongez nlikua nampa cmu mdogo wangu ili asitambue saut yangu bt nashukuru mpenz wangu alikua imara
Nne nais uwezekano mkubwa wa wewe ku2nga hii stori

Tano, nais umr wako si 27 kama unavodai ni chini ya 24.
Sita, KAJIPANGE TENA.
 
Mnyikungu mie sipendi kukukatisha Tamaa, Ila unaonekana na wewe umefika sababu kumbuka ulisema ulimpigia simu ikawa haipatikani kwa muda flani ukaona haiwezekani bado ukaendelea Kupiga tu na wewe ni dalili za mapenzi na wewe yashakuoga kama anavyo sema BAK unaye huyo, Ila mkuu kuwa mwangalifu isije kuwa Bomu tu la vipele vya kuwasha watu wakaanza kukutembelea Hospital.

Wenye uchu nao naona wanasema Bahati ingewakuta wao duh utawajuwa tu waharibifu watu kama hao ndio wakimkuta demu Kilema wanamkimbia umependa sauti sasa penda na maumbile.
 
bahati mbaya au nzuri cjui kupenda, huyo nilimwambia nina mchumba kumkatisha tamaa, lakini hakukata tamaa, kama ananitumia ili amsahau mpenzi wake atajua yeye but na mimi namtumia kujiliwaza ili cku iende,kama ameamua kunipima mimi pole yake hii ni wrong number mwisho wa siku atajikuta anajipima yeye,
kama nimetunnga story je wewe umeipenda hujaipenda?
kama si 27 ni 24 miaka yangu kwani we tatizo lako nini?
nikajipange tena ili kiwe nini?
 
 
kikwete katurithisha a very bad disease, ugonjwa wa u-DHAIFU!!!
 
 
mntikumhu eeh fupisha bana hii ndefu sana
 

dah mbona usanii sana huo ,ila pole unatuma sms 500 kwa cku si dole gumba litavimba sasa mpotezee huyo limbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…