Mtoto kameza gololi

LickSamba

Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
11
Reaction score
2
Wana JF Doctor habari zenu wote.

Mwanangu amemeza gololi tangu jana majira ya saa 3 asubuhi Ni hizi gololi wanazonunua madukani na kuchezea(sijui vizuri materials zake,lakini sio zile za chuma zitumikazo kwenye baiskeli nk). Hadi sasa yupo kawaida tu, halalamiki maumivu yoyote wala hakohoi.

Hapa JF ndipo penye ushauri yakinifu. Nisaidieni jamani wanajamvi.
 
Dogo kameza gololi,fasta unakuja online.
Hapo jirani hakuna watu wakuuliza fasta huku ukifanya utaratibu wa kumpeleka hospital,.?
 
Kwani mwanao tangu jana hajapata choo?
Mda wa kunya atainya nzimanzima
 
Mrishe chakula laini kama mapapi au ndizi au viazi mviringo vitampelekea kupata choo..lakini ajisaide pembeni kisha chunguza hiyo goroli kama imetoka..zaidi ya hapo mpeleke hosp. Zinazoeleweka.
 
Atainya tu,wangu aliwahi kula ya a ya chuma akainya siku ya 3,niliweza kuiona kirahisi kwakuwa alitumia choo cha kukaa iligoma kuondoka na maji.
 

ushauri.unapata wapi nguvu ya kuandika na kuomba ushauri humu jf.mpereke hospital ndio njia sahihi wangu.ukishatoka ndio uje jf.dah Una moyo
 
Mpe mafuta ita slide na kutoka kupiti bomba la DOWASCO
 
Kama alienda chooni basi ameshaitoa na kama bado bas akienda ataitoa. Gololi inatoka kama ilivyo, hujawai kusikia watu wanameza madawa ya kulevya ili wapite airport? Wale watu huwa hawali kitu njiani ili kuepusha kupata choo, usiogope hiyo sio ishu. Hata hivyo nakushangaa sana maana tangu jana asubuhi upo kimya unamuangalia na leo ndio umeona upost hapa, unamtakia afya njema mwanao?
 
Kama siyo kubwa sana atainya tu ila Mpe vyakula laini ili kulainisha choo
 
Wewe badala ya kumwaisha hospitali unakuja online.....acha utani bac ama ulitaka na ww huweke uzi tukujue huku jf???
 
Hahahaaaa!!! Ahsanteni wadau wote mlionipa mawazo yenu positive,na mlioponda pia coz I really like challenges.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…