Mtoto kampeleka mama mkwe wangu polisi kisa Mirathi

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Ni mtoto wa mama mwingine ambapo 1 hakuwepo kwenye msiba wa babake,na alipokuja hakwenda kuliona kaburi,alipoambiwa atoe viambata for mirathi akadai hana haja nayo na hakutoa sapoti,binamu kawekwa mbadala,hela zimetoka kapewa pungufu coz ya cost,kaenda PLS
 
Je, mtoto wa kwanza wa kiume wa mke mkubwa yupo?
 
Mtoto wa kwanza kabisa kuzaliwa ni wa kike ambaye ndiye huyo aliyempeleka mamake mdg huko polisi,wa pili ni wa kiume naye ni wa kwa mama mwingine tena,then huyu wa ndoa mtoto wake wa kwanza ni wa kike mkuu
 
Back
Top Bottom