Nina jamaa zangu wawili ambao wako kwenye ndoa, mmoja ni zaidi ya miaka tisa,lakini hawajafanikiwa kupata mtoto.Japo hawasemi lakini kwa kuwatazama na jinsi watu wanavyonong'ona penbeni inaonyesha kabisa hawako happy kwenye ndoa zao.Je ni kweli kwamba mkipata mtoto huifanya ndoa yenu iwe imara zaidi?Mi binafsi nachukulia kama mipango ya Mungu tu, labda watafanikiwa mbele ya safari.
ni kweli mtoto ktk ndoa ni mipango ya mungu, lakini kwa namna nyingine mtoto huzidisha furaha ktk ndoa. kuna jamaa yangu waligombana na mkewe walikaa siku nne bila kusemeshana, sasa wana mtoto wao miaka 5 akawa amejua kuwa baba na mama hawasemi, siku hiyo jioni wamerudi tu mtt akawadaka leo tuna kikao mniambie nani mchokozi kamchokoza mwenzake ili nimchape fimbo, wkt huo kanasema kameshika bakora mkononi. jamaa na mkewe walicheka sana na yakawa yamekwisha.
kama ulioa,upate watoto,usipowapata ndoa yako itakuwa mashakani....ila kama uliingia ndoani out of love ukijua watoto ni matokeo tu hata usipowapata ndoa yako haitayumba!
<br />kama ulioa,upate watoto,usipowapata ndoa yako itakuwa mashakani....ila kama uliingia ndoani out of love ukijua watoto ni matokeo tu hata usipowapata ndoa yako haitayumba!
<br />uhusiano wa furaha na maridhiano ndani ya familia mtoto ana nafasi ndogo sana............................wazazi kamwe hawawezi kukubali mtoto awafanye wao kuwa jela ya kuamua kuishi pamoja au la..............................................mahusiano kati ya wahusika wenywe tu yanajitosheleza.................au vinginevyo vile..............................................