chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,529
Asante sana maana hata nami tayari wazee washaanza kuleta mambo ya mila.Hakuna tatizo lolote ni maumbile tu hata wangu alianza ivo niliogopa sana maana mama Mkwe alisema kwa mila zao sio vzuri lakini nilipomuuliza mama akasema nikawaida maana hata mimi nilianza kuota meno ya juu, nikaenda hospitali pia nikaambiwa nisihofu ni maumbile tu hakuna lolote baya
Yaan mie ilikuwa patashika Nguo kuchanika maana wazee walikuwa wakisema Mara ikitokea ivo ni vibaya utakuwa na mtoto huyo tu lakini my mum alikuwa akinipa moyo maana mie nina madogo kama utitiri japo nilianza kuota ya juu, so usihofu ni kawaidaAsante sana maana hata nami tayari wazee washaanza kuleta mambo ya mila.
Ahsante sana.Yaan mie ilikuwa patashika Nguo kuchanika maana wazee walikuwa wakisema Mara ikitokea ivo ni vibaya utakuwa na mtoto huyo tu lakini my mum alikuwa akinipa moyo maana mie nina madogo kama utitiri japo nilianza kuota ya juu, so usihofu ni kawaida
Ubarikiwe sana mkuu.ChenjiChenji
Mimi sio daktari ila ni mzazi. Kila mtoto duniani hukua kwa njia tofauti. Ni kweli meno ya chini yanatakiwa yaanze lakini watoto wengine meno ya juu huanza.
Hata ukienda hospitali watakuambia usubiri ili meno yote yakuwe kama kweli kuna tatizo.
Kikubwa fuatilia kwa makini ukuaji wa meno yake na ukiona meno yanapangana ambavyo sivyo basi unaweza kupata second opinion ya daktari.
ChenjiChenji kumbuka pia mara nyingi ukuaji wa meno kwa mtoto huwa unaridhi kutoka kwa baba au mama. Ukiulizia vizuri historia yako au mke wako utaambiwa mmoja wenu aliota meno ya juu kabla ya chini.Ahsante sana.
Ubarikiwe sana.