Mtoto kuanza kutembea

Mtoto kuanza kutembea

Matukutuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
269
Reaction score
126
Wanandugu, habarini za jioni?

Ninataka kufahamu kwamba eti mtoto akianza kutembea basi anaharisha. Je ni kweli kuna uhusiano wowote kati ya mtoto kuanza kutembea na kuharisha kwake.

Mwenye utaalam asaidie hapa.

Natanguliza shukrani
 
Hakuna kitu kama hicho.
Lqbda kanyonya au kala vitu vichafu ikiwemo maziwa ya mama mwenye ujauzito!
 
Back
Top Bottom