M Matukutuku JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 269 Reaction score 126 Aug 31, 2015 #1 Wanandugu, habarini za jioni? Ninataka kufahamu kwamba eti mtoto akianza kutembea basi anaharisha. Je ni kweli kuna uhusiano wowote kati ya mtoto kuanza kutembea na kuharisha kwake. Mwenye utaalam asaidie hapa. Natanguliza shukrani
Wanandugu, habarini za jioni? Ninataka kufahamu kwamba eti mtoto akianza kutembea basi anaharisha. Je ni kweli kuna uhusiano wowote kati ya mtoto kuanza kutembea na kuharisha kwake. Mwenye utaalam asaidie hapa. Natanguliza shukrani
M45 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 1,110 Reaction score 1,462 Aug 31, 2015 #2 Hakuna kitu kama hicho. Lqbda kanyonya au kala vitu vichafu ikiwemo maziwa ya mama mwenye ujauzito!
love more than100 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2014 Posts 2,061 Reaction score 715 Aug 31, 2015 #3 Kuharisha ni ugonjwaa hivyo mpeleke hosp na apimwe choo.