Hakuna ubaya japokuwa kikubwa hapo ni kuonyesha mwendelezo wa ukoo wenu, ndi maana kuna wengine unakuta majina yake yote hayapo kwa mama wala kwa baba yaani linakuja jina lake kamili bila ubini wa mama wala wa baba
Wapo wanaotumia majina ya mama zao lakini wengi ni wale waliolelewa na mama pekee bila baba, jamii nyingi za kitanzania ni PATRIARCHY na sio MATRIARCHY ndo maana ipo hivyo!!